Mwanzo 9:20-21
Mwanzo 9:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu; akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 9Mwanzo 9:20-21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu; akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 9