Mwanzo 9:16
Mwanzo 9:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Huo upinde utakapotokea mawinguni, nitauona na kulikumbuka agano hilo la milele kati yangu na viumbe vyote hai duniani.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 9Mwanzo 9:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi huo upinde utakuwa winguni; nami nitauangalia nipate kulikumbuka agano la milele lililoko kati ya Mungu na kila kiumbe hai katika wote wenye mwili kilichoko katika nchi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 9