Mwanzo 9:1
Mwanzo 9:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akambariki Nuhu na wanawe, akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 9Mwanzo 9:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, “Zaeni, muongezeke, mkaijaze nchi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 9