Mwanzo 8:20
Mwanzo 8:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Noa akamjengea Mwenyezi-Mungu madhabahu, akatwaa mmoja katika kila aina ya wanyama walio safi na ndege walio safi, akamtolea Mungu sadaka za kuteketezwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 8Mwanzo 8:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nuhu akamjengea BWANA madhabahu; akatwaa katika kila mnyama aliye safi, na katika kila ndege aliye safi, akavitoa sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 8