Mwanzo 8:1
Mwanzo 8:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mungu akamkumbuka Noa na wanyama wote wa porini na wa kufugwa waliokuwa pamoja naye ndani ya safina. Basi, Mungu akavumisha upepo juu ya nchi, maji yakaanza kupungua.
Shirikisha
Soma Mwanzo 8Mwanzo 8:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Mungu akamkumbuka Nuhu, na kila kilicho hai, na wanyama wote waliokuwamo pamoja naye katika safina; Mungu akavumisha upepo juu ya nchi, maji yakapungua
Shirikisha
Soma Mwanzo 8