Mwanzo 6:5
Mwanzo 6:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alipoona wingi wa uovu wa binadamu duniani, na kwamba kila analokusudia binadamu moyoni mwake ni ovu daima
Shirikisha
Soma Mwanzo 6Mwanzo 6:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu siku zote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 6