Mwanzo 6:19
Mwanzo 6:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Nawe utaingiza katika safina jozi ya kila aina ya viumbe, wa kiume na wa kike, ili kuwahifadhi hai pamoja nawe.
Shirikisha
Soma Mwanzo 6Mwanzo 6:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na katika kila kilicho hai chenye mwili, wawili wa kila namna utawaleta ndani ya safina, kuwahifadhi pamoja nawe; wawe mume na mke.
Shirikisha
Soma Mwanzo 6