Mwanzo 49:33
Mwanzo 49:33 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Baada ya Yakobo kumaliza kutoa maelekezo hayo kwa wanawe, akarudisha miguu yake kitandani, akapumua pumzi ya mwisho, na akakusanywa kwa watu wake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 49Mwanzo 49:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Yakobo alipomaliza kuwausia wanawe, aliirudisha miguu yake kitandani, akatoa roho akajiunga na wazee wake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 49