Mwanzo 46:3
Mwanzo 46:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akamwambia, “Mimi ndimi Mungu, Mungu wa baba yako. Usiogope kwenda Misri; utakapokuwa huko, nitakufanya uwe taifa kubwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 46Mwanzo 46:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akasema, Mimi ni Mungu, Mungu wa baba yako, usiogope kushuka mpaka Misri; maana nitakufanya uwe taifa kubwa huko.
Shirikisha
Soma Mwanzo 46