Mwanzo 46:29
Mwanzo 46:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Yosefu akapanda gari lake la farasi, akaenda kumlaki Israeli, baba yake, huko Gosheni. Alipomfikia baba yake, alimkumbatia na kulia kwa kitambo kirefu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 46Mwanzo 46:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yusufu akatandika gari lake, akapanda kwenda kumlaki Israeli, babaye, huko Gosheni; akajionesha kwake, akamwangukia shingoni, akalia shingoni mwake kitambo kirefu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 46