Mwanzo 45:8
Mwanzo 45:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, si nyinyi mlionileta huku, bali ni Mungu. Ndiye aliyenifanya kama baba kwa Farao, msimamizi wa nyumba yake yote na mtawala wa nchi yote ya Misri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45Mwanzo 45:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi si ninyi mlionileta huku, ila Mungu; naye ameniweka kama baba kwa Farao, na bwana katika nyumba yake yote, na mtawala katika nchi yote ya Misri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45