Mwanzo 45:7
Mwanzo 45:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mungu alinipeleka mbele yenu kuwahifadhia masazo katika nchi, na kuwaokoa ninyi kwa wokovu mkuu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45Mwanzo 45:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu alinileta huku niwatangulie, ili kusalimisha maisha yenu mbaki hai nchini na kuwakomboa kwa ukombozi mkubwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45