Mwanzo 45:6
Mwanzo 45:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Huu ni mwaka wa pili tu wa njaa nchini, na bado kuna miaka mitano zaidi ambapo watu hawataweza kulima wala kuvuna mavuno.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45Mwanzo 45:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana miaka hii miwili njaa imekuwa katika nchi, na iko tena miaka mitano isiyo ya kulima wala kuvuna.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45