Mwanzo 45:3
Mwanzo 45:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Yosefu akawaambia ndugu zake, “Mimi ni Yosefu. Je, baba yangu angali hai?” Lakini ndugu zake wakapigwa na bumbuazi mbele yake, hata wakashindwa kumjibu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45Mwanzo 45:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yusufu akawaambia ndugu zake, Mimi ndimi Yusufu; baba yangu angali hai bado? Wala ndugu zake hawakuweza kumjibu, maana waliingiwa na hofu mbele yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45