Mwanzo 41:51
Mwanzo 41:51 Biblia Habari Njema (BHN)
Yosefu alimwita mwanawe wa kwanza Manase, akisema, “Mungu amenifanya nisahau taabu zangu zote na jamaa ya baba yangu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 41Mwanzo 41:51 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yusufu akamwita jina lake yule aliyezaliwa kwanza, Manase, maana alisema, Mungu amenisahaulisha taabu zangu zote, na nyumba yote ya baba yangu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 41