Mwanzo 4:7
Mwanzo 4:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, ukitenda vyema hutakubaliwa? Na usipotenda vyema, basi, dhambi inakuvizia mlangoni; inakutamani, lakini unapaswa kuishinda.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 4Mwanzo 4:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, lakini yapasa uishinde.
Shirikisha
Soma Mwanzo 4