Mwanzo 39:2
Mwanzo 39:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yosefu, akamfanikisha sana. Yosefu akawa anakaa katika nyumba ya bwana wake, Mmisri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 39Mwanzo 39:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akawa pamoja na Yusufu, naye akasitawi; naye alikuwa katika nyumba ya bwana wake, yule Mmisri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 39