Mwanzo 38:9
Mwanzo 38:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
Shirikisha
Soma Mwanzo 38Mwanzo 38:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, alimwaga mbegu chini asimpe nduguye uzao.
Shirikisha
Soma Mwanzo 38