Mwanzo 35:3
Mwanzo 35:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, tutakwenda Betheli ili nimjengee mahali pa kumtambikia Mungu aliyenisaidia siku ya taabu, Mungu ambaye amekuwa nami popote nilipokwenda.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 35Mwanzo 35:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tuondoke, tupande kwenda Betheli, nami nitamfanyia Mungu madhabahu huko; yeye aliyenisikia siku ya shida yangu, akawa pamoja nami katika njia yote niliyoiendea.
Shirikisha
Soma Mwanzo 35