Mwanzo 35:2
Mwanzo 35:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Yakobo akawaambia jamaa yake na wote aliokuwa nao, “Tupilieni mbali sanamu za miungu ya kigeni mlizo nazo, mjitakase na kubadili mavazi yenu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 35Mwanzo 35:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yakobo akawaambia watu wa nyumbani mwake, na wote waliokuwa pamoja naye, Ondoeni miungu migeni iliyoko kwenu, mjisafishe mkabadili nguo zenu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 35