Mwanzo 34:25
Mwanzo 34:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku tatu baadaye, waliotahiriwa wakiwa bado wana maumivu makali, watoto wawili wa Yakobo, Simeoni na Lawi, kaka zake Dina, walizitwaa panga zao, wakauvamia mji ghafla na kuwaua wanaume wote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 34Mwanzo 34:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa siku ya tatu, walipokuwa wakiumwa sana, wana wawili wa Yakobo, Simeoni na Lawi, nduguze Dina, wakatwaa kila mtu upanga wake, wakaujia mji kwa ujasiri, wakawaua wanaume wote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 34