Mwanzo 33:4
Mwanzo 33:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Esau akaenda mbio kumlaki Yakobo, akamkumbatia na kumbusu shingoni, na wote wawili wakalia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 33Mwanzo 33:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Esau akaja mbio kumlaki, akamkumbatia, na kumwangukia shingoni, akambusu; nao wakalia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 33