Mwanzo 30:22
Mwanzo 30:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mungu akamkumbuka Raheli, akalikubali ombi lake na kumjalia kupata watoto.
Shirikisha
Soma Mwanzo 30Mwanzo 30:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akamkumbuka Raheli; Mungu akamsikia, akamfungua tumbo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 30