Mwanzo 3:19
Mwanzo 3:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa jasho lako utajipatia chakula mpaka utakaporudi udongoni ulimotwaliwa; maana wewe ni mavumbi, na mavumbini utarudi.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3