Mwanzo 3:16
Mwanzo 3:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha akamwambia mwanamke, “Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto. Hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo, naye atakutawala.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa uchungu utazaa watoto; hata hivyo, hamu yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3