Mwanzo 3:11
Mwanzo 3:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akasema, Ni nani aliyekuambia ya kuwa u uchi? Je! Umekula wewe matunda ya mti niliyokuagiza usiyale?
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:11 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mungu akamuuliza, “Ni nani aliyekuambia ya kuwa ulikuwa uchi? Je, umekula matunda ya mti niliokuamuru usile?”
Shirikisha
Soma Mwanzo 3