Mwanzo 29:31
Mwanzo 29:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alipoona kwamba Lea anachukiwa, akamjalia watoto; lakini Raheli alikuwa tasa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 29Mwanzo 29:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akaona ya kwamba Lea hakupendwa, naye akafungua tumbo lake; bali Raheli alikuwa hazai.
Shirikisha
Soma Mwanzo 29