Mwanzo 29:20
Mwanzo 29:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Yakobo akamtumikia Labani miaka saba kwa ajili ya Raheli, lakini kwake muda huo ulikuwa kama siku chache, kwa vile alivyompenda Raheli.
Shirikisha
Soma Mwanzo 29Mwanzo 29:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yakobo akatumika miaka saba kwa kumpata Raheli. Ikawa machoni pake kama siku chache tu kwa vile alivyompenda.
Shirikisha
Soma Mwanzo 29