Mwanzo 28:8
Mwanzo 28:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Esau akafahamu kwamba baba yake hapendezwi na wanawake wa Kanaani.
Shirikisha
Soma Mwanzo 28Mwanzo 28:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Esau akaona ya kuwa binti za Kanaani hawakumpendeza Isaka, baba yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 28