Mwanzo 28:15
Mwanzo 28:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nipo pamoja nawe; nitakulinda popote uendapo na kukurudisha katika nchi hii. Sitakuacha mpaka nitakapotimiza ahadi niliyokupa.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 28Mwanzo 28:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na tazama, mimi nipo pamoja nawe, nitakulinda kila uendako, nami nitakuleta tena mpaka nchi hii, kwa maana sitakuacha, hata nitakapokufanyia hayo niliyokuambia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 28