Mwanzo 28:14
Mwanzo 28:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Wazawa wako watakuwa wengi kama mavumbi ya dunia, na milki yao itaenea kila mahali: Magharibi, Mashariki, Kaskazini na Kusini. Kwako jamii zote duniani zitabarikiwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 28Mwanzo 28:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi, na mashariki, na kaskazini, na kusini; na katika wewe, na katika uzao wako, jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 28