Mwanzo 26:3
Mwanzo 26:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Kaa ugenini katika nchi hiyo, nami nitakuwa nawe na kukubariki. Nitatimiza ahadi niliyompa baba yako Abrahamu, kwani nitakupa wewe na wazawa wako nchi hizi zote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 26Mwanzo 26:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kaa ugenini katika nchi hiyo, nami nitakuwa pamoja nawe, na kukubariki, maana nitakupa wewe na uzao wako nchi hizi zote. Nami nitakifanya imara kiapo nilichomwapia Abrahamu baba yako.
Shirikisha
Soma Mwanzo 26