Mwanzo 26:12
Mwanzo 26:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwaka huo Isaka alipanda mbegu katika nchi ile, akavuna mara mia zaidi, maana Mwenyezi-Mungu alimbariki
Shirikisha
Soma Mwanzo 26Mwanzo 26:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwaka huo Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, naye akapata mavuno mara mia zaidi. BWANA akambariki.
Shirikisha
Soma Mwanzo 26