Mwanzo 24:12
Mwanzo 24:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye akaomba, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba unijalie nifaulu leo na umfadhili Abrahamu bwana wangu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 24Mwanzo 24:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akasema, Ee BWANA, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba mambo yangu uyajalie yawe heri leo, ukamfadhili bwana wangu Abrahamu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 24