Mwanzo 21:1
Mwanzo 21:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alimkumbuka Sara, akamtendea kama alivyoahidi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 21Mwanzo 21:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamjia Sara kama alivyonena, na BWANA akamfanyia kama alivyosema.
Shirikisha
Soma Mwanzo 21