Mwanzo 20:17
Mwanzo 20:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ibrahimu akamwomba Mungu, Mungu akamponya Abimeleki, na mkewe, na wajakazi wake, nao wakazaa wana.
Shirikisha
Soma Mwanzo 20Mwanzo 20:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Abrahamu akamwomba Mungu, naye akamponya Abimeleki, mkewe na mjakazi wake, hata wakaweza kupata tena watoto.
Shirikisha
Soma Mwanzo 20