Mwanzo 2:2
Mwanzo 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyofanya; siku hiyo ya saba Mungu akapumzika baada ya kazi yake yote aliyofanya.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2