Mwanzo 19:29
Mwanzo 19:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu alipoiangamiza miji ya bondeni alimokuwa anakaa Loti, alimkumbuka Abrahamu kwa kumtoa Loti katika miji hiyo, ili Loti asije akaangamia pamoja nayo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 19Mwanzo 19:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa Mungu alipoiharibu miji ya Bondeni, Mungu akamkumbuka Abrahamu, akamtoa Lutu katika maangamizi alipoiangamiza miji hiyo aliyokaa Lutu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 19