Mwanzo 19:17
Mwanzo 19:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Walipowatoa nje ya mji, malaika mmoja wao akawaambia, “Kimbieni kwa usalama wenu. Msiangalie nyuma wala kusimama popote bondeni. Kimbilieni milimani, msije mkaangamia.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 19Mwanzo 19:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa walipomtoa nje, mmoja alisema, Jiponye nafsi yako usitazame nyuma, wala usisimame katika hilo bonde popote; ujiponye mlimani, usije ukaangamia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 19