Mwanzo 18:27
Mwanzo 18:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Abrahamu akasema, “Nimethubutu kuzungumza na Bwana, mimi niliye mavumbi na majivu tu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 18Mwanzo 18:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Abrahamu akajibu, akasema, Basi, nimeshika kusema na Bwana, nami ni mavumbi na majivu tu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 18