Mwanzo 17:5
Mwanzo 17:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Tangu sasa, hutaitwa tena Abramu, bali utaitwa Abrahamu, maana nimekufanya kuwa baba wa mataifa mengi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17Mwanzo 17:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wala jina lako hutaitwa tena Abramu, lakini jina lako litakuwa Abrahamu, kwani nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17