Mwanzo 17:21
Mwanzo 17:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini agano langu litathibitika kwa Isaka ambaye Sara atakuzalia mwakani wakati kama huu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 17Mwanzo 17:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali agano langu nitalifanya imara kwa Isaka, ambaye Sara atakuzalia majira kama haya mwaka ujao.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17