Mwanzo 17:19
Mwanzo 17:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akamjibu, “La! Ila mkeo Sara atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utamwita Isaka Nitaliimarisha agano langu kwake na wazawa wake, kuwa agano la milele.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17Mwanzo 17:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17