Mwanzo 17:17
Mwanzo 17:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Abrahamu akasujudu, akacheka moyoni mwake akiwaza, “Ati, itawezekana kweli mtoto kuzaliwa kwa mzee wa miaka 100? Na je, Sara ambaye umri wake ni miaka tisini, ataweza kupata mtoto?”
Shirikisha
Soma Mwanzo 17Mwanzo 17:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Abrahamu akaanguka kifudifudi akacheka, akasema moyoni, Je! Mtu wa umri wa miaka mia moja, kwake atazaliwa mtoto? Naye Sara mwenye umri wa miaka tisini atazaa?
Shirikisha
Soma Mwanzo 17