Mwanzo 17:15
Mwanzo 17:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mungu akamwambia Abrahamu, “Kuhusu mkeo, hutamwita tena jina lake Sarai, bali jina lake litakuwa Sara.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17Mwanzo 17:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akamwambia Abrahamu, Sarai mkeo, hutamwita jina lake Sarai, kwa kuwa jina lake litakuwa Sara.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17