Mwanzo 17:11
Mwanzo 17:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtatahiriwa kwa kukata magovi yenu, na hii itakuwa ndiyo alama ya agano kati yangu nanyi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17Mwanzo 17:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtatahiriwa nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na ninyi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17