Mwanzo 16:13
Mwanzo 16:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Hagari akampa jina Mwenyezi-Mungu aliyezungumza naye huko, “Wewe ni Mungu Aonaye” kwa maana alifikiri, “Kweli hapa nimemwona yeye anionaye!”
Shirikisha
Soma Mwanzo 16Mwanzo 16:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akampa jina BWANA aliyesema naye, “Wewe U Mungu uonaye,” kwani alisema, “Kweli nimemwona Mungu na nikaendelea kuishi baada ya kumuona?”
Shirikisha
Soma Mwanzo 16