Mwanzo 16:12
Mwanzo 16:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Ishmaeli ataishi kama pundamwitu; atakuwa adui wa kila mtu na kila mtu atakuwa adui yake. Ataishi akiwa adui wa jamaa yake.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 16Mwanzo 16:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye atakuwa kama punda mwitu kati ya watu, mkono wake utapingana na watu wote na mkono wa kila mtu ukipingana naye; na ataishi kwa ugomvi na jamaa yake yote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 16