Mwanzo 16:1
Mwanzo 16:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Sarai, mkewe Abramu, alikuwa bado hajamzalia mumewe mtoto. Lakini alikuwa na mjakazi aliyeitwa Hagari, kutoka Misri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 16Mwanzo 16:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Sarai mkewe Abramu hakumzalia mwana, naye alikuwa na mjakazi, Mmisri, jina lake Hajiri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 16