Mwanzo 15:5
Mwanzo 15:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Mwenyezi-Mungu akamleta Abramu nje na kumwambia, “Tazama mbinguni! Zihesabu nyota, kama kweli utaweza kuzihesabu! Hivyo ndivyo wazawa wako watakavyokuwa wengi!”
Shirikisha
Soma Mwanzo 15Mwanzo 15:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamtoa nje, akasema, Tazama juu mbinguni kisha uzihesabu nyota, kama unaweza kuzihesabu. Akamwambia, Ndivyo utakavyokuwa uzao wako.
Shirikisha
Soma Mwanzo 15